Tuesday, July 14, 2015

NAMNA YA KUPANGA MKAKATI WA MFANIKIO MWAKA HUU

Kwanza napenda nianze kwa kumshukuru mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kuweza kutufikisha siku hii ya leo,pili nawashukuru wazazi wangu kwa kuweza kunileta duniani isitoshe wameweza kunilea kwakipindi chote sikuwa mzigo kwao bali walivumilia mapungufu yangu nakuweza kuninyoosha katika njia ilio njema mwisho nawashukuru wadogozangu kwa kuonyesha ushilikiano wa hali na mali katika maisha yetu ya kila siku.

Kwa kuanza napenda kukukaribisha ndugu yangu msomaji katika makala yangu hii ya ujasiliamali, juu ya mada MKAKATI WA MAFANIKIO MWAKA HUU. Kwanza tujiulize ujasiliamali ni nini? ujasiliamali ni hali ya mtu kujitoa kwa hali na mali kutumia rasilimali zilizopo ili kuweza kujitengenezea kipato cha ziada.

 Kabla yakuendelea Ebu tujiulize maswali yafuatayo:
(i) wewe ulie ajiliwa mshahara unaopata katika ajila yako unakutosha?
(ii) je unamudu maitaji yako ya kila siku?
(iii)mshahara wako unatosha kulipa madeni ulio nayo?
(iv) Kama mshahara wako kwa sasa haukutoshi je ukistaafu ukaanza kulipwa pension ambayo ni nusu mshahara itakutosha?
(v) Mshara wako unapanda baada ya muda gani na unapanda kwakiwango unacho itaji?
(vi) Je mshara wako unaendana na thama ni ya elimu yako?
(vii) Mshara wako unakutana na mshara mpya kila mwezi?

Baada ya kujiuliza maswali ayo kama jibu la maswali yote ni NDIO basi iyo kazi ni nzuri husiiache endelea nayo Lakini kama ni HAPANA basi jifikilie mala mbilimbili ili utengeneze plan B ili upate utatuzi wa maswali yako. Kwa wale ndugu zangu amabao hatuna ajila je maisha yetu yakoje? Je tuna shughuli za kujiingizia kipato? Natumai tunazo ila sithani kama kipato tunacho pata kinatosha.

 Nimekutana na vijana wengi hasa wale ambao wana uchu wa maendeleo kila nilie kuwa naongea nae analalamikia serikali kwa kuwatelekeza bila ajila. Lakini niliwaoji kuwa baada ya serikali kuwatelekeza wamechukua atua gani ili kuakikisha wanajikomboa na umaskini,apa kila mtu alikuwa na jibu lake hasa la kukatisha tamaa ya maisha. Ila asilimia 90 ya vijana nilio ongea nao wana kitu kimoja ambacho ndio tatizo kubwa ambalo ndio limenisukuma mpaka kuamua kuandika makalia hii.

Ndugu zangu MTAJI limekuwa tatizo kubwa kwa watanzania tulio wengi,tatizo ata wale walio kwenye ajila pamoja na kuwa wana mitaji walau ya kudunduliza lakini kutokana na ratiba zao zinazotokana na kubanwa na waajili wao bado hawawezi kupata muda wa kutengeneza kipato cha ziada.

Sasa ndugu yangu napenda nikwambie kitu, kwa mtu mwenye nia na uchu wa kutimiza ndoto zake swala la MTAJI sio tatizo,unaweza kuona kama natania ila ndio ukweli wenyewe. Tatizo la watu tulio wenge tunawaza biashara ya zamani ndio maana tunawaza mitaji mikubwa, ukimwambia mtu mtaji anawaza kuanzia milioni tano au kumi kwenda juu. Napenda nikwambie kitu mtaji mkubwa kiasi icho cha mamilioni ya shilingi huwezi kukua ata siku moja badala yake ukikaa kwenye mzunguko muda mrefu katika biashara ni miaka miwili tu.

 Je unaweza kuamini kuwa TSH 26,000/= (shilingi elfu ishilini na sita) kuna watu wanaweza kuona kama natania vile, ila ninachokiandika ninamaanisha. Ebu tujiulize ninani ambae anaweza kukosa kiasi iki cha pesa? Katika karne hii ya 21 kwa mtaji huu unaweza kubadili maisha yako mpaka ukashangaa? Kwamtu ambae yuko tiali na anadhamila ya dhati katika kubadili maisha yake basi nipigie ili nikupe mbinu za kimaisha kwakutumia 26,000/= tu. Katika biashara hii mwajiliwa anaweza kuifanya kama ziada ili iweze kumtatulia maswali yake ya apo juu vilevile kwa yeyote alie tiali kuifanya kwa muda wake wote ili nae atimize ndoto zake mwisho wa siku nae atengeneze ajila kwa wengine basi nakukaribisha ili nikuonyeshe muujiza wa 26,000/= acha kufikilia mitaji mikubwa ambayo itakutesa na kukukondesha bule

KAMA UNA MATATIZO YA MAUMIVU YA MGONGO BASI HII NDIO TIBA YAKO

Maumivu chini ya mgongo hutokea sana kwa kila mtu na mara nyingi huwa ni chini ya mbavu za nyuma na juu ya miguu na huweza kusambaa mpaka kwenye kiuno na hips. Maumivu haya usikika na kuumiza pale unapoinua kitu, kusimama, kukaa kwenye kiti au kutembea na usababishwa na matumizi kupita kiasi ya misuli, kano, mishipa na neva za mgongoni au kwenye pingili za uti wa mgongo kutokana na kugandamizwa sana. Pia huweza kusababishwa na kuvunjika au maambukizi katika pingili za uti wa mgongo, umri mkubwa, saratani ya mifupa,uzito kupita kiasi mawe katika figo, uvimbe na saratani ya kizazi .

TIBA YAKE
Unaweza kujifanyia huduma ya kwanza mwenye kwa kutumia dawa za kupunguza maumivu, kuchua, kuweka barafu au joto kiasi, kufanya mazoezi mapesi na kukaa au kulala mtindo unaopunguza maumivu.
Punguza uzito, epuka kuanguka mara kwa mara na usibebe mizigo mizito kupita kiasi au kaza sana tumbo unaponyanyua mizigo mizito
Usizunguke wakati au kuinamia mbele wakati umebeba vitu vizito
Usisimame kwa kubana miguu muda mrefu
Maumivu yakizidi fika hospitali ili kufanyiwa uchunguzi na vipimo vya X rays, CT scan na MRIs kwa ajili ya kugundua tatizo na kupata tiba zaidi.

YFAHAMU MAAJABU YA MAJANI YA MILITARIS KATIKA TIBA MBALI MBALI

Majani haya yanajulikana kwa kuitwa "majani ya maajabu kutoka mbinguni" kutokana na uwezo wake mkubwa wa kutibu na kukinga magonjwa mengi kama yafuatayo:
-Asthma
-Allergy
-kikohozi sugu na mafua yasiyopona
-huongeza kinga ya mwili
-humaliza tatizo la upungufu wa nguvu za kiume
-hurekebisha tatizo la figo
Kutokana na upatikanaji wake kuwa mgumu, wataalamu wa tafiti mbalimbali za Afya waliamua kuyaweka majani hayo katika mfumo wa vidonge ili iwe rahisi kila mtu mwenye matatizo hayo aweze kupata. Dozi yake moja ina vidonge 60 na hutumika mwezi mzima.
Waweza wasiliana nasi ili uweze kujipatia au umsaidie ndugu yako mwenye matatizo hayo.

JE WEWE UNAHITAJI PESA?BASI USIWE NA PAPARA

1. UNAFIKIRI TAKUKURU ITAMALIZA JANGA LA RUSHWA MAKAZINI?
2.UNAFIKIRI MIGOMO NDO SULUHISHO LA MISHAHARA MIKUBWA HAPA TANZANIA?
-Rushwa haiwezi kuisha ni kwa sababu zifuatazo:-

1. Wafanyakazi ni wavivu sana. Kwani yeye alifikili akipata ajira basi pesa zinamtembelea. Hahaha pole km ulikua na wazo kama hilo. Wengi wafanyakaxi wana chezea utajiri mkubwa hapa duniani ambao ni muda. Muda ni kitu muhimu sana hapa duniani katika kutafuta mafanikio.

Acha kutumia muda wako vibaya kwa kuangalia tamthilia,dvds, na kushinda saloon. Jifunze kutengeneza pesa ya ziada baada ya kazi. Hizo rushwa unazo kula hizo ndizo laana zinazokufanya uendelee kuwa masikini bila kujua pesa inaenda wapi.

~MUNGU HUTUNUKU MTU ATAFUTAYE PESA KWA MAPENZI YAKE~


2. Wafakazi wanapenda mafanikio ya haraka. Mtu atafutaye kwa mafanikio ya haraka kamwe mafanikio kwake ni kidogo. Mtu anataka aanze leo biashara kesho kutwa awe tajiri??!! Acha tabia hiyo...utajiri unahitaji uvumilivu. Ndio sababu kubwa ya wafanya kazi wamekata tamaa..wao wanajifanya hesabu wanajua sana yani hawataki hasara katika biashara. ~You can not create a successful company without creating two or more failure company~ Jifunze kuwa wavumilivu katika biashara .
Inaniuma sana kuona mtu ameridhika na pesa ndogo ya mfukoni anayopata kila mwezi. Hivi kweli wewe sio mbunifu kiasi hicho??
HASARA YA RUSHWA
1. Kuto urithi ufalme wa mbiguni
2.Kutofanikiwa katika maisha yako pesa hio sio halali
3.Kufukuzwa kazi na kuitesa familia yako.
ACHA KUPUZIA FURSA ZA BIASHARA EWE MFANYAKAZI, HIZO FURSA NDIO DAWA TOSHA YA WEWE KUTOKULA RUSHWA.
~~INANIUMA SANA DAKTARI UNAKULA RUSHWA BAADA TU YA UPASUAJI MGONJWA ANAKUFA~~
HIZI NI LAANA KWA NINI USIUZE HATA NYANYA KULIKO KUWEKA DOA HILO KWA MUNGU.
Mungu okoa maisha ya hawa na kuwafanya watambue fursa zingine za biashara. Amina

TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA TIBA YAKE

 Upungufu wa nguvu za kiume ni Ile Hali ya mwanaume kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa na pia hushindwa kukamilisha tendo la ndoa kwa ufasaha
Tatizo hili linawakabiri wanaume wengi duniani karibia 46% ya wanaume wanasumbuliwa na tatizo hili la upungufu wa nguvu za kiume na hivyo kuwa na athari nyingi sana na kusababisha ndoa za watu kuvunjika na idadi ya uchepukaji kuongezeka
Mara nyingi mwanaume mwenye upungufu wa nguvu za kiume anakua Hana uwezo wa kumridhisha mwanamke Kwenye tendo la ndoa na hivyo kuwa chanzo cha mahusiano na ndoa nyingi kuvunjika
CHANZO CHA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Vyanzo vya upungufu wa nguvu za kiume ni vingi sana navyo ni ÷
1)UPIGAJI PUNYETO MARA KWA MARA
2)MSONGO WA MAWAZO
3)MAZINGIRA YASIYORIDHISHA KUFANYA TENDO LA NDOA
4)ULEVI ULIOKITHIRI
 5)KUPOOZA/KUUGUA STROKE
6)KUUGUA KISUKARI KWA MUDA MREFU
7)ULAJI MBOVU WA VYAKULA HASA VYAKULA VYENYE MAFUTA MENGI
8)KUTUMIA DAWA ZA KEMIKALI eg, viagra, estrogen, diuretic, tranquillizers, digoxin, NK 9)KUUMIA KWA KINENA (GROIN)
10)KIWANGO KIDOGO CHA TESTERON
11)KUUGUA CHANGO LA KIUME AU NGIRI
 ~DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Mwanaume anayekabiliwa na tatizo Hilo la nguvu za kiume huwa na Dalili zifuatazo
��HUKOSA HAMU YA KUFANYA TENDO LA NDOA ~huwa Hana uwezo wa kutamani kufanya tendo la ndoa, tatizo hili husababishwa na msongo wa mawazo
��KUTOKUA NA UWEZO WA KUSIMAMISHA UUME ~Hali hii hutokea kutokana na kutokuwepo kwa mzunguko wa damu wa kutosha Kwenye uume
��UUME HUSINYAA NA KUSHINDWA KURUDIA TENDO LA NDOA ~uume wa mwanaume husinyaa na kuwa mdogo na kurudi ndani hivyo huwa Hana uwezo wa kukamilisha tendo la ndoa, Hali hii husababishwa na upigaji punyeto kwa muda mrefu
��KUFIKA KILELENI MAPEMA ~mwanaume hushindwa kufanya mapenzi kwa dakika hata 15 hivyo huwahi kupeez ndani ya dakika 5
��KUSHINDWA KURUDIA TENDO LA NDOA ~mwanaume hushindwa kurudia mzunguko wa pili hivyo akifika mzunguko wa kwanza  anakuwa Hana uwezo wa kuendelea, Hali hii husababishwa na kutokua na msukumo wa damu wa kutosha
 MADHARA YA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME
~KUSABABISHA KUPATA UKIMWI ~hii hutokana na wanawake kutokuweza kuvumilia tatizo hili na hivyo kutoka nnje ya ndoa kutimiziwa haja zake
~KUWA MLEVI ~Mara nyingi wanaume wenye tatizo hili hukata Tamaa mapema na kuamua kujihusisha na pombe kwa madai ya kupunguza stress
~KUVUNJIKA KWA MAHUSIANO AU NDOA ~mwanamke hushindwa kuvumilia tatizo hili na hivyo kuamua kuvunja mahusiano au ndoa kwa madai ya kutopewa haki yake ya msingi
~KIFO ~baadhi ya wanaume hufikia hatua ya kujiua kutokana na kusumbuka sana na tatizo hili kwa muda mrefu hvyo hujiona Hana thamani
 JINSI YA KUJIKINGA NA UGONJWA HUU
 Jambo zuri ni kuzingatia afya yako na kujiwekea balance diet
 ��KULA UGALI WA DONA KILA SIKU
 ��KUNYWA SUPU YA PWEZA MARA KWA MARA
 ��FANYA MAZOEZI MARA KWA MARA
 ��EPUKA VYAKULA VYENYE MAFUTA
 ��ACHA KUJIPIGA PUNYETO
 ��ACHA KUTUMIA VIAGRA
 ��PUNGUZA KITAMBI NA MWILI
 KAMA UNA TATIZO HILI KARIBU UPATE TIBA TUNA DAWA NA KIRUTUBISHO  CHA KUMALIZA TATIZO HILO LA NGUVU ZA KIUME


VYAKULA VYENYE SUKARI NI CHANZO CHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME



Ndugu karibu sana katika makala zangu ambazo huzungumzia chanzo cha tatizo, namna ya kuepuka na kutibu kabisa hilo tatizo bila kukaa kuhangaikia kutibu dalili ya ugonjwa. Ni dhahili kuwa maisha yetu ya kifahari tumekuwa tunakula vyakula vyakutosha lakini vyakula hivi si vyakujenga mwili bali vinakuja na magonjwa mengi ndani yake. Siwezi kuilaumu jamii kwa kuendelea kula vyakula hivi bila kuwa na kiasi bali ni mfumo wa afya kwa ujumla ambayo inaweka juhudi kubwa kubaini magonjwa na kutibu dalili na siyo kuweka jitihada kubwa katika kutoa elimu ya namna ya kujikinga na magonjwa na kushughurika na chanzo au mzizi wa ugonjwa. Hivyo ni jukumu letu kuhakikisha jamii inaepukana na magonjwa haya kwani tukifanya hivyo utamaduni huu wa kutuletea vyakula vinavyo dhoofisha miili yetu na hatimaye wanaleta misaada ya matibabu inayo lenga kubaini magonjwa na sio kutoa elimu ya kuzia na kupambana na vyanzo hasa vya tatizo.
Baada ya kusema hivyo basi ningependa kwa siku ya leo nizungumzie kidogo madhara ya vyakula vyenye sukari nyingi na nguvu za kiume ambazo hadi sasa wanaume ambao hawawezi kutungisha mimba idadi inaongezeka. Kumekuwa na usemi kuwa upungufu wa nguvu za kiume unahusishwa sana na kuzeeka kwa mtu. Ni dhahiri kuwa kuzeeka kwako sio chanzo cha wewe kupata upungufu wa nguvu za kiume na hutakiwi kuhusisha bali ni tabia yako inayo ambatana na ulaji wa vyakula na unywaji wa vinywaji vyenye sukari nyingi,unywaji pombe,uvutaji sigara, utumiaji wa madawa ya hospitali bila ushauri maalumu na pia utumiaji madawa ya hospitali pale unapotibu ugonjwa flani kwa mfano dawa za kifafa, dawa za usingizi na dawa za dege dege,utumiaji wa madawa ya kulevya na kujichua kila siku. Hivyo maisha yetu ya kila siku ndio chanzo cha ukosefu wa nguvu za kiume
NINI MCHANGO WA VINYWAJI VYENYE SUKARI NYINGI NA VYAKULA VYA VIWANDANI KATIKA UPUNGUFU WA NGUVU ZAKIUME
Tumekuwa tukiishi mazingira ya kula vyakula vya sukari kila siku kwa mfano, ukiamka asubuhi unakula mikate, tafiti zinasema kuwa mkate una aina ya wanga iitwayo amylopectin A ambayo endapo ikimeng”enywa ni chanzo cha sukari nyingi sana kwenye damu. Pia unatakiwa kufahamu kuwa slice mbili za mikate ni sawa kama umeramba vijiko viwili vya sukari ya mezani yani sukari nyeupe. Hivyo mikate ni moja ya vyakula vyakuepuka sana kama unahitaji kuwa na afya njema na mwenye nguvu za kiume tele. Pia imekuwa ni kawaida unaamka asubuhi na soda kwani hii ni ishara kuwa tayari kiini mahususi kwenye soda ambacho huitwa ASPARTAME kimesha kuaathiri na umekuwa addicted na vyakula vya sukari. Aspartame ni kiambata mahususi kwenye vinywaji vya coka na hivyo kimewekwa humo ili kukufanya uwe na hamu ya kunywa soda mara kwa mara au kula vyakula vitamu vitamu. Kiini hiki huenda kwenye ubongo na kujishika kwenye vipokea taarifa yani receptors na kutoa taarifa ambazo zina angamiza mwili wako.
Sukari inapozidi mwilini inasababisha uchovyaji wa insulin kwa wingi ambayo hupunguza kiasi cha testosterone ndani ya ndamu na hatimaye kupunguza nguvu na shauku ya tendo la ndoa. Kulingana na utafiti uliofanywa kwa kutumia kipimo cha sukari kiitwacho ORAL GLUCOSE TORELANCE TEST AU OGT kilionesha kuwa wanaume wenye sukari nyingi kwenye mzunguko wa damu walionesha kiwango kidogo cha kichocheo cha nguvu za kiume kiitwacho testosterone ambacho hushughurika na sifa za kiume,kutengeneza mbegu za kiume na kuimarisha misuli bila kusahau nguvu za kiume. Ni dhahili kuwa ongezeko kubwa la wanaume ambao wana matatizo ya nguvu za kiume inasababishwa na ulaji na unywaji wa vyakula vyenye sukari nyingi. Hivyo basi ni dhahiri kuwa kama una tatizo hilo linaweza kukupelekea kukosa mototo kwani hata manii ya kiume kutengenezwa kwake itakuwa ni kwa shida sana. Epuka hivi vyakula na jua namna gani unaweza rudisha afya yako mwanzo kwa kutumia vyakula na virutubisho mahususi vinavyo ondoa tatizo la nguvu za kiume.
Pia vyakula vya sukari nyingi hupunguza kwa hali ya juu vichocheo vya kujenga mwili yani GROWTH HORMONE ambayo hutolewa na tezi ya pituitary wakati wa usingizi mzito. Kichocheo hiki cha kujenga mwili yani GROWTH HORMONE kinafanya kazi kubwa ya kutumia mafuta yaliyohifadhiwa kwa matumizi ya ziada, pia growth hormone huimarisha misuli ya mwili na kuimarisha nguvu za kiume. Hivyo kupungua kwa kichocheo hiki husababisha mrundikano wa mafuta mabaya na kutengeneza nyama zembe yani BELLY FAT, kuongezeka uzito,kupata kizuizi cha insulin na hatimaye kisukari aina ya pili.
Vyakula vya sukari nyingi hukufanya muda wote ujihisi umechoka na huna nguvu ya kufanya kazi yoyote na wengine hufikiria kuwa wanasumbuliwa na ugonjwa wa malaria. Hii ni kwa sababu sukari nyingi kupita kiasi inasababisha utoaji wa insulin kuongezek a ili kupunguza sukari hiyo na matokeo yake kusababisha njaa na shauku ya kula mara kwa mara kwa sababu ya kupungua kwa reptin hormone inayotolewa na seli za kuhifadhi mafuta. Pia sukari nyingi huzuia utengenezwaji wa kichocheo kiitwacho OREXIN ambacho husafirisha taarifa na kuongoza kitendo cha ulaji na kukufanya uwe na nguvu ya kuwa macho na kufanya kazi zako. Sasa orexin inapopungua inasababisha muda wote kukaa umechoka na unasinzia ovyo ovyo. Ni dhahiri kuwa inaweza kuwa unasema hii makala ni miongoni mwa waathiriwa wa sukari nyingi kwani uzito umekuzidi,kitambi,unasinzia ovyo ovyo na muda wote umechoka. Usihofu na usikate tama chakula cha matunda na mboga mboga ndio suluhisho lako kama wewe huwezi kutumia hivi basi jitahidi kutafuta virutubisho vyenye kurudisha afya yako upya bila usumbufu kabisa.
Pia sukari nyingi kwenye damu husababisha msongo wa mawazo sana na hatimaye kusababisha utolewaji wa vichocheo vya CORTISOL ambayo husababisha ulaji ovyo wa vyakula wa bila mpangilio. Mtu kama huyu utakuta unakula pale pale baada ya muda mfupi tena njaa. Hivyo tujifunze namna gani sasa unaweza kuirudisha afya yako bila tena kuendelea kuongeza sumu mbali mbali mwilini. 
Napenda nikupongeze msomaji wangu ni jukumu lako kujua nini cha kufanya kama wewe bado ujafikia ku athiriwa na tatizo hili. Hivyo basi nina imani utailinda afya yako na kuipenda. Chakula cha mimea na matunda kinakuweka mbali na dawa hizi wapenda kwani tusipende kula vyakula vyenye nembo ya kuisha muda wake. Kwa Yule tayari ameshakubwa na tatizo hili kwa sababu ya matumizi ya sukari nyingi napenda kukuambia kuwa CHAKULA PEKEE NI TIBA KABISA NA KUJIEPUSHA NA DAWA ZA KILA SIKU UNAZO NUNUA AMBAZO HAZITIBU TATIZO. Kama huwezi kupangilia chakula chako vizuri na namna ya kurudisha tatizo lako unaweza tumia viutubisho vinavyo ondoa tatizo na kurudi kuwa kijana. Kama ukihitaji tunaweza kukuelekeza namna ya kukipata au piga simu

Disqus Shortname

Comments system

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | coupon codes