Hellow wapendwa natumaini wote mu wazima na kwa wale ambao hampo sawa poleni na naamini Mungu atawapa uponyaji.Siku ya leo nimependa tujifunze ni jinsi gani mfumo wa elimu ambavyo unatujenga tuwe wategemeaji kwa kutujenga kuja kuajiriwa na sio kujiajiri sisi wenyewe.
Katika mfumo wa elimu Tanzania na duniani kwa ujumla hakuana mtaala unaomjenga mtu kuja kujiajiri mwenyewe bali unamtengenezea mwanafunzi mazingira ya kuja kuajiriwa,kwa mfano,nilikutana na mwanafunzi aliyehtimu shahada ya kwanza biashara akilalamika katafuta kazi bila mafanikio,nilipomuuliza kwani huwezikwa kutumia elimu uliyonayo juu ya biashara kujiajiri mwenyewealidai tatizo ni mtaji.Hapo ndipo nilipogundua kumbe hata wanaosomea biashara wapo sawa kama waliosomea shahada nyingine.
Mfumo wa elimu haumfundishi mwanafunzi kuja kujiajiri bali unamfundisha mtu kuja kuwatumikia matjiri(wafanya biashara),kwa mfano unakuta mtu kasomea uhandisi ila kaajiriwa katika kampuni la uhandisi la mfanyabiashara aliyeishia form four,na anafurahia hiyo kazi kwa kuona analipwa kipato kikubwa bila kujua kwamba yeye anamuingizia mara themanini au tisini mwajiri wake.
SIku hizi wafanyabiashara wakubwa kama kina Bakhresa wanawatumia wasomi kwa kununua projects proposal mbali mbali na kuzifanyia kazi zinazowaingizia mabilioni ya pesa na unakuta aliyeiuza hiyo proposal anafurahia kisa amaelipwa milioni ishirini au thelasini.
Mafanikio ya mtu yanaangaliwa katika pesa na jinsi gani anatumia akili yake katika kukikuza kipato chake,hapa haijarishi kichwani kwako umebeba degree ngapi,unakuta mtu anapata fursa ya kufanya biashara anadai hawezi ichafua degree yake kwa kufanya biashara za kijinga wakati kina pinda na uwaziri wao wanawekeza mpaka mashambani ambapo ndio panaonekana pa walala hoi.Tumia elimu uliyonayo kukikuza kipato chako,hata kama unaajira usitegemee utakaa kwenye ajira miaka yote siku utakapoishiwa nguvu hajkuna atakayeangalia umesomea chuo gani wala nchi gani kwa sababu hautakua na faida yeyote,na kama unasubiria pensheni ndio ikutajirishe unajidanganya kwasababu nguvu unayoitumia inatengebneza mamilioni ya pesa kwa mwajiri wako na hiyo pesheni yako ni vijisenti tu katika rundo la pesa ulilotengeneza.
Kuanza biashara haijarishi una shilingi ngapi mfukoni kwani unaweza izalisha shilingi hamsini uliyonayo ikawa mia,elfu na mwisho wa siku ukawa mfanya biashara mkubwa,kuwa tajiri haijarishi kiasi kiasi kikubwa cha pesa unachotengeneza kwa mwezi bali unawekeza kiasi gani cha kipato chako katika miradi.

0 comments:
Post a Comment