Maambukizi katika njia ya mkojo hujulikana zaidi kwa jina la UTI, kirefu chake ni Urinary Tract Infections.
Maambukizi haya tunaweza kuyaweka katika makundi makuu mawili:
(1) Maambukizi ya chini katika njia ya mkojo(lower urinary tract infections).
Hii inahusisha mrija wa mkojo(urethra) na kibofu cha mkojo.
(2) Maambukizi ya juu katika njia ya mkojo(upper urinary tract infections.
Haya ni maambukizi ambayo hupanda na kusababisha maambukizi kwenye figo.
Pia tunaweza kuchanganua ugonjwa huu katika namna kuu mbili.
(1) Acute UTI.
Hii ni UTI ya kawaida tu. Haya ni maambukizi yanayoambatana na dalili
zinzosababishwa na usumbufu wa maradhi kwenye njia ya mkojo. Kwa mfano
kuumia wakati wa kukojoa, kukojoa mara kwa mara n.k.
(2) Chronic UTI.
Hii mara nyingi huwa tunaiita UTI sugu. Katika hali hii huambatana na
dalili za hatari kama kukojoa damu inayoweza kuonekana kwa macho tu bila
msaada wa Microscope au kukojoa mkojo wenye chembechembe za damu
nyekundu ambazo haziwezi kuonekana kwa macho. Sasa ukiona dalili hizo
unaweza kujua kama una UTI sugu. Na unapofikia hali hii mara nyingi
tunaamini kuwa tayari figo imeshambuliwa(pyelonephritis). Hapa ni
kitendo cha kushambuliwa kwa kuta za nje za njia ya mkojo. Hapa mgonjwa
anakuwa anasikia maumivu makali sana kwenye pingili za chini ya mgongo
zikiambatana na dalili za tumbo kuuma chini ya kitovu na kukojoa mkojo
wenye damu.
KWANINI WATU WENGI KILA KONA NI UTI?
Hii ni kwa sababu watu hawafuati utaratibu au kanuni za kuchukua vipimo
maabara. Mfano kipimo cha UTI kwa Maabara tunapima kipimo cha mwanzo kwa
kutumia mkojo wa katikati yaani MID STREAM URINE. Tatizo wengi wetu
tukienda Hospitali tunaambiwa KAKOJOE HUMU ULETE MKOJO!
Mkojo wa mwanzo ni lazima upitie normal flora(bacteria rafiki/wasio na
madhara), na kipimo cha mkojo huwa hakibagui, hapo ni lazima kitasoma
una bacteria wengi kumbe wala siyo bacteria wenye madhara. Hapo
inatakiwa ukojoe mkojo wa mwanzo umwagike kwanza ndipo uje uchukue mkojo
unaofuata(wa katikati au mid stream urine catch).
WATU AMBAO WAPO HATARINI KUPATA UTI
=>Watoto wadogo wanaotumia Nepi maana wao hujikojolea humohumo. Hivyo
mtoto mdogo kama humbadilishii Nepi mara kwa mara, huzinyooshi ili ziwe
safi ana hatari ya kuugua UTI.
=>Wanaume wa umri mkubwa ambao hawajafanyiwa tohara.
=>Mwanamke yeyote yupo hatarini kupata UTI kwa sababu njia ya haja
kubwa ipo karibu sana na njia ya uzazi. Na hivyo wengi wa wanawake
wanapokuwa katika zoezi la kujisafisha hujisafisha kwa kupeleka uchafu
mbele badala ya kusukuma huo uchafu kwa nyuma. Pia wanawake njia yao ya
mkojo(urethra) ni fupi ukilinganisha na ya mwanaume. Kwa wanaume ni
nadra sana bacteria kufika kwenye kibofu. Maambukizi ya kibofu huitwa
CYSTIS.
=>Watu wenye wapenzi wengi yaani michepuko mingi na hawatumii kinga wakati wa kufanya mapenzi.
=>Wanawake wanaotumia nguo wakati wa kujihifadhi hedhi bila
kuzikausha vizuri na kuzinyoosha. Kuna wanawake wengi hufua nguo na
kuanika ndani nguo wanazotumia wakati wa hedhi.
=>Wanawake wanaotumia ped za madukani ambazo hazina viwango na kuchelewa kubadilisha ped.
=>Matumizi mabaya ya Antibiotics husababisha walinzi wa sehemu za
siri kufa na kufanya bacteria nyemelezi kuvamia na kuanza kuharibu
mazingira. Hivyo antibiotics ni nzuri lakini zitumiwe kwa misingi
maalumu maana normal flora wakifa basi utashambuliwa na kila bacteria au
fangasi ambao ni nyemelezi.
JE, VYOO VICHAFU NI CHANZO CHA UTI?
Watu wengi tumekuwa na visingizio kuwa bacteria wa chooni huwezi kuruka
na kuingia katika via vya uzazi na kusababisha ugonjwa wa UTI. Ukweli ni
kwamba hao bacteria hawana mabawa ya kuwafanya waruke ila sisi watu
ndio huwa tunakiuka taratibu za kujisafisha tuwapo chooni. Kwa maana
hiyo utaweza kuambukizwa UTI kupitia hivyo vyoo vichafu hasa vya jumuia
endapo tu hautatumia Tishu zenye Antibiotics kujifutia.
SASA TUANGALIE TIBA YA UGONJWA HUU KWA KUTUMIA PED ZENYE ANIONS CHIP ZISIZO NA MADHARA.
Anions hizi zimewekwa katikati ya ped kwa kutumia pamba nyepesi. Hali
hii huifanya sehemu husika ikilowa maji au damu, inafyonza damu yote na
kuruhusu hewa kupenya na kusafisha joto lote kukausha unyevunyevu wote.
Hewa inapopita inaondoa joto lote na kuondoa mazingira ya bacteria
waharibifu kuweza kuota au kuishi maeneo hayo. Pia inasafisha na
kukausha unyevunyevu wote ambao ukiachwa wadudu kama bacteria au fangasi
huweza kuchekelea na kuzaliana kwa fujo. Hivyo kwa staili hiyo mwanamke
au msichana unakuwa mkavu na hakuna joto kabisa kama vile kuna AC kwa
jinsi utakavyojisikia mwenye amani.
SASA TUONE KAZI NA FAIDA YA HIZO ANION CHIP
=>Tujue kuwa hizo anions chip ni negative charged, yaani anions
inapokuwa inatolewa inakuwa inatengeneza oxygen ambayo hii huzuia
bacteria wote wanaoweza kustawi bila kuhitaji oxygen yaani Anaerobic
Bacteria. Mfano mzuri ni mtu anayekuwa na kidonda cha anaerobes huwa
kinanuka sana . Hivyohivyo harufu mbaya sehemu za siri kwa wanawake
husababishwa na kuoteana kwa bacteria hawa. Hivyo kwa kutumia ped hizo
hii hali huondoka kabisa.
=>Huzuia kansa ya shingo ya kizazi.
=>Hutibu kabisa UTI ya aina yoyote
=>Huzibua mirija ya uzazi kwa watu wenye matatizo ya uzazi
=>Huzuia harufu mbaya sehemu za siri
=>Inazuia maambukizi yote ya kizazi hasa unapokuwa katika mazingira hatarishi kama mabwawa ya kuogelea
=>Zinarekebisha tatizo la uwiano wa vichocheo au hormonal imbalances
=>Hurekebisha siku za hedhi kwa wanawake ambao siku zao za hedhi hubadilikabadilika.
=>Huondoa tatizo la kuumwa kichwa na tumbo wakati wa hedhi.
0 comments:
Post a Comment