Tuesday, July 21, 2015

BIASHARA YA MTANDAO NA NEPTUNUS

    NEPTUNUS NI  NINI?

Ni kampuni iliyo anzishwa mwaka 1989 baada ya viwanda vitatu vya umma kuungana. Viwanda hivi hujishugulisha na kutengeneza dawa za mahospitalini(natural drugs) yani dawa asili. Viwanda hivi ni NEPSTAR CHAIN DRUGSTORE CO. LTD kipo new york stock exchange marekani, NEPTUNUS BIO-ENGINEERING CO LTD kipo shenzhen stock exchange na NEPTUNUS INTERLOG BIOTECHNIQUE CO LTD kipo hongkong. Hayo matatu ni masoko ya hisa ya kampuni ya neptunus. Kampuni hii ilianza kuzalisha dawa kabisa za kutibu magonjwa sugu na virutubisho mbalimbali ambazo leo ni changamoto kubwa duniani kwani mwaka 1998 kampuni hii ilitunikiwa tuzo ya GMP(Great manufacturer Company) hii ni kwa sababu ilitunikiwa tuzo miaka mitatu mfululizo za NOBEL kutokana na bidhaa ya GOLDEN OYSTER na GINKARDIO suluhisho la pressure. Ndio mana nina penda kukuambia kua kampuni ina bidhaa bora jaribu kuchunguza kampuni zote zinazofanya MLM hapa Tanzania. Hazina tuzo hii ya GMP nina uhakika bidhaa ziko kutimiza malengo ya mteja na mfanya biashara anae taka kutimiza ndoto.
Mwaka 2010 kampuni hii iliweka mikakati kuja kuisaidia AFRICA katika nyanja ya KIUCHUMI na kutokomeza MAGONJWA SUGU. Ndugu yangu kama wewe unahitaji pesa na kutimiza ndoto karibu utumie bidhaa hizi.
Kampuni hii ilikaa chini na kupanga MIKAKATI chini ya usimamizi wa Ndug ZHANG SIMIN ambaye ni kijana mdogo aliyezaliwa mwaka 1969 na ni tajiri mkubwa sana china na anae miliki kampuni kubwa bora china nzima.
Bwana ZHANG SIMIN alikaa chini na kuangalia makampuni mengine yaliyoko africa yalikuja na mtazamo gani na udhaifu gani katika bidhaa na biashara. Iliingia africa ikajenga makao makuu kila kanda GHANA,SOUTH AFRICA,KENYA,TANZANIA na Ikasambaa nchi zingine.
MAREKEBISHO YALIYOFANYWA NA KAMPUNI YA NEPTUNUS AMBAYO WATU BADO HAWAJAGUNDUA.
Watu wengi tunajiingiza katika biashara ya mtandao bila kutengeneza msingi mzuri wa biashara na bila kuchunguza kampuni unayofanya nayo kazi. Leo hii nakupa siri ya utajiri iliyopo neptunus haijagundulika.
1. Ni kampuni ambayo inatengeneza dawa katika package za kisasa yaani SOFT GEL,CAPSULES,TABLETS. Dawa zote hizi zinatokana na mimea, matunda,samaki,na mboga mboga. Hizi ni 100% natural hazina chemical kabisa pia hawatumii vyakula na matunda ya kutengenezwa. Wanatumia mimea asilia. Hatuna MAJI,MAJANI YA CHAI NA BIDHAA ZINGINE ZA KUONGEZA MAUMBILE.
2. Ni kampuni ya pekee yenye DAWA  kabisa za kutibu magonjwa TABIA wakati kampuni zingine zote zina VIRUTUBISHO TU. Njoo utumie dawa zetu kufanya biashara hakika HUTAJUTA. Dawa zetu zipo nyingi kila dawa na ugonjwa wake. 
3. Ni kampuni ya pekee unaweza kutumia shilingi 26000 na ukaanza kufanya biashara yako kwa kuingia ubia na kupewa ruhusa ya kufanya kazi na kampuni ya neptunus. Kampuni zingine zina gharama kubwa hivyo ndio mana ika amua ije na mfumo huu. Pia unaweza kununua bidhaa hata moja moja sio package tu kama makampuni mengine.
FAIDA YA KUWA MSAMBAZAJI WA BIDHAA HIZI NA KUWA MFANYA BIASHARA WA MLM WA NEPTUNBUS.
Watu wengi sana wamekata tamaa na biashara hii ya MLM hii ni kwa sababu ya kukosea kampuni ya kufanya nayo kazi. Sasa leo nakwambia uhondo wa neptunus karibu sana tufundishane.
1. Ukisha jiunga utaruhusiwa kutumia bidhaa za neptunus kuuza kwa watu na kujipatia faida ya reja reja 20%
2. Unaruhusiwa kudhamini watu wengi kadri uwezavyo kwani hao watu watalipwa na kampuni sio wewe. Hivyo wewe  toa elimu kadri uwezavyo na uwafundishe hao wafanye biashara. Kampuni hii itakulipa kwa watu ulio wadhamini kwenye biashara kama manager wa team yako.
3. Utalipwa bonus kila mwisho wa mwezi asilimia 5-45 ya PESA ULIYOTUMIA KUNUNUA BIDHAA MWEZI HUO WEWE MWENYEWE. Pia utalipwa asilimia 0-45 ya pesa ambayo team yako imetumia kununua katika mwezi huo. Hapa ndipo kuna utamu rahaaaaaa ndugu zangu. Hivi kweli ndoto zako za kuwa manager zinatimia kwa kutumia 26000/=
[22:23, 4/30/2015] Frank Ndyanabo: 4.kampuni hii kadri unavyopanda cheo/level itafika kipind utapunguza nguvuvza kununua mzigo.kwa mfano.kampuni zingine unavyokuw na kipato kikubwa na gharama za kukaa katika level zinaongezeka 
5.pia mashart ya kupanda level kuongeza kipato ni marahisi kabisa hata mtu mwenye kipato kidogo anaweza kufanya biashara akafanikiwa
6.pia kampuni itakulipa m.20 kama kiinua mgongo kwa kufanya kazi ndani ya mwaka mmoja na mwez mmoja na ukafika ngazi ya7.
7.pia kampuni itakupa kiinua mgongo tena cha sh m.40 ukifanya nayo kazi kwa miaka miwili na ukifika level ya 8
>>JUMLA YA KIINUA MGONGO CHAKO NI M.60 NDANI YA MIAKA MIWILI HII PESA NI MBALI NA BONUS NA FAIDA YA REJAREJA.

MWISHO
Ewe mtanzania uliye na ndoto ya kufanya biashara ila tatizo ni mtaji,pia kwa wewe unaefikiria ni biashara gani utafanya kwa mtaji ulionao,napenda kukuarika katika biashara hii yenye mafanikio,imewatoa wengi kwenye umasikini na sasa ni watu mashuhuri hapa duniani.Pia kwa wewe ambaye umeshawahi kufanya biashara hii na ukafeli,napenda kukuambia kuwa labda kilichokufelisha ni elimu ndogo juu ya kuifanya hii biashara au kutokujituma kwako,lakini kama haya yote sio sababu,basi kampuni ulilokua umeingia nalo ubia halina uwezo wa kumkuza mtu kibiashara.
Hivyo napenda kuwaalikeni wote katika fursa hii uweze kujifunza biashara na uweze kubadilisha maisha yako.TIMIZA NDOTO ZAKO NA NEPTUNUS KWANI NDIO KAMPUNI PEKEE INAYOWEZA KUMNUFAISHA MTANZANIA YEYOTE.

TUPIGIE : 0768 308 740 /0673 308 740.
E-MAIL ; bnjige@gmail.com

0 comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments system

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | coupon codes