Upungufu wa nguvu za kiume ni Ile Hali ya mwanaume kutokuwa na uwezo wa
kufanya tendo la ndoa na pia hushindwa kukamilisha tendo la ndoa kwa
ufasaha
Tatizo hili linawakabiri wanaume wengi duniani karibia 46% ya wanaume
wanasumbuliwa na tatizo hili la upungufu wa nguvu za kiume na hivyo kuwa
na athari nyingi sana na kusababisha ndoa za watu kuvunjika na idadi ya
uchepukaji kuongezeka
Mara nyingi mwanaume mwenye upungufu wa nguvu za kiume anakua Hana uwezo
wa kumridhisha mwanamke Kwenye tendo la ndoa na hivyo kuwa chanzo cha
mahusiano na ndoa nyingi kuvunjika
CHANZO CHA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Vyanzo vya upungufu wa nguvu za kiume ni vingi sana navyo ni ÷
1)UPIGAJI PUNYETO MARA KWA MARA
2)MSONGO WA MAWAZO
3)MAZINGIRA YASIYORIDHISHA KUFANYA TENDO LA NDOA
4)ULEVI ULIOKITHIRI
5)KUPOOZA/KUUGUA STROKE
6)KUUGUA KISUKARI KWA MUDA MREFU
7)ULAJI MBOVU WA VYAKULA HASA VYAKULA VYENYE MAFUTA MENGI
8)KUTUMIA DAWA ZA KEMIKALI eg, viagra, estrogen, diuretic, tranquillizers, digoxin, NK 9)KUUMIA KWA KINENA (GROIN)
10)KIWANGO KIDOGO CHA TESTERON
11)KUUGUA CHANGO LA KIUME AU NGIRI
~DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Mwanaume anayekabiliwa na tatizo Hilo la nguvu za kiume huwa na Dalili zifuatazo
��HUKOSA HAMU YA KUFANYA TENDO LA NDOA ~huwa Hana uwezo wa kutamani
kufanya tendo la ndoa, tatizo hili husababishwa na msongo wa mawazo
��KUTOKUA NA UWEZO WA KUSIMAMISHA UUME ~Hali hii hutokea kutokana na kutokuwepo kwa mzunguko wa damu wa kutosha Kwenye uume
��UUME HUSINYAA NA KUSHINDWA KURUDIA TENDO LA NDOA ~uume wa mwanaume
husinyaa na kuwa mdogo na kurudi ndani hivyo huwa Hana uwezo wa
kukamilisha tendo la ndoa, Hali hii husababishwa na upigaji punyeto kwa
muda mrefu
��KUFIKA KILELENI MAPEMA ~mwanaume hushindwa kufanya mapenzi kwa dakika hata 15 hivyo huwahi kupeez ndani ya dakika 5
��KUSHINDWA KURUDIA TENDO LA NDOA ~mwanaume hushindwa kurudia mzunguko
wa pili hivyo akifika mzunguko wa kwanza anakuwa Hana uwezo wa
kuendelea, Hali hii husababishwa na kutokua na msukumo wa damu wa
kutosha
MADHARA YA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME
~KUSABABISHA KUPATA UKIMWI ~hii hutokana na wanawake kutokuweza
kuvumilia tatizo hili na hivyo kutoka nnje ya ndoa kutimiziwa haja zake
~KUWA MLEVI ~Mara nyingi wanaume wenye tatizo hili hukata Tamaa mapema
na kuamua kujihusisha na pombe kwa madai ya kupunguza stress
~KUVUNJIKA KWA MAHUSIANO AU NDOA ~mwanamke hushindwa kuvumilia tatizo
hili na hivyo kuamua kuvunja mahusiano au ndoa kwa madai ya kutopewa
haki yake ya msingi
~KIFO ~baadhi ya wanaume hufikia hatua ya kujiua kutokana na kusumbuka
sana na tatizo hili kwa muda mrefu hvyo hujiona Hana thamani
JINSI YA KUJIKINGA NA UGONJWA HUU
Jambo zuri ni kuzingatia afya yako na kujiwekea balance diet
��KULA UGALI WA DONA KILA SIKU
��KUNYWA SUPU YA PWEZA MARA KWA MARA
��FANYA MAZOEZI MARA KWA MARA
��EPUKA VYAKULA VYENYE MAFUTA
��ACHA KUJIPIGA PUNYETO
��ACHA KUTUMIA VIAGRA
��PUNGUZA KITAMBI NA MWILI
KAMA UNA TATIZO HILI KARIBU UPATE TIBA TUNA DAWA NA KIRUTUBISHO CHA KUMALIZA TATIZO HILO LA NGUVU ZA KIUME


0 comments:
Post a Comment