Tatizo hili linawakabiri wanaume wengi duniani karibia 46% ya wanaume wanasumbuliwa na tatizo hili la upungufu wa nguvu za kiume na hivyo kuwa na athari nyingi sana na kusababisha ndoa za watu kuvunjika na idadi ya uchepukaji kuongezeka
Mara nyingi mwanaume mwenye upungufu wa nguvu za kiume anakua Hana uwezo wa kumridhisha mwanamke Kwenye tendo la ndoa na hivyo kuwa chanzo cha mahusiano na ndoa nyingi kuvunjika
CHANZO CHA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Vyanzo vya upungufu wa nguvu za kiume ni vingi sana navyo ni ÷
1)UPIGAJI PUNYETO MARA KWA MARA
2)MSONGO WA MAWAZO
3)MAZINGIRA YASIYORIDHISHA KUFANYA TENDO LA NDOA
4)ULEVI ULIOKITHIRI
5)KUPOOZA/KUUGUA STROKE
6)KUUGUA KISUKARI KWA MUDA MREFU
7)ULAJI MBOVU WA VYAKULA HASA VYAKULA VYENYE MAFUTA MENGI
8)KUTUMIA DAWA ZA KEMIKALI eg, viagra, estrogen, diuretic, tranquillizers, digoxin, NK 9)KUUMIA KWA KINENA (GROIN)
10)KIWANGO KIDOGO CHA TESTERON
11)KUUGUA CHANGO LA KIUME AU NGIRI
~DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Mwanaume anayekabiliwa na tatizo Hilo la nguvu za kiume huwa na Dalili zifuatazo
��HUKOSA HAMU YA KUFANYA TENDO LA NDOA ~huwa Hana uwezo wa kutamani kufanya tendo la ndoa, tatizo hili husababishwa na msongo wa mawazo
��KUTOKUA NA UWEZO WA KUSIMAMISHA UUME ~Hali hii hutokea kutokana na kutokuwepo kwa mzunguko wa damu wa kutosha Kwenye uume
��UUME HUSINYAA NA KUSHINDWA KURUDIA TENDO LA NDOA ~uume wa mwanaume husinyaa na kuwa mdogo na kurudi ndani hivyo huwa Hana uwezo wa kukamilisha tendo la ndoa, Hali hii husababishwa na upigaji punyeto kwa muda mrefu
��KUFIKA KILELENI MAPEMA ~mwanaume hushindwa kufanya mapenzi kwa dakika hata 15 hivyo huwahi kupeez ndani ya dakika 5
��KUSHINDWA KURUDIA TENDO LA NDOA ~mwanaume hushindwa kurudia mzunguko wa pili hivyo akifika mzunguko wa kwanza anakuwa Hana uwezo wa kuendelea, Hali hii husababishwa na kutokua na msukumo wa damu wa kutosha
MADHARA YA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME
~KUSABABISHA KUPATA UKIMWI ~hii hutokana na wanawake kutokuweza kuvumilia tatizo hili na hivyo kutoka nnje ya ndoa kutimiziwa haja zake
~KUWA MLEVI ~Mara nyingi wanaume wenye tatizo hili hukata Tamaa mapema na kuamua kujihusisha na pombe kwa madai ya kupunguza stress
~KUVUNJIKA KWA MAHUSIANO AU NDOA ~mwanamke hushindwa kuvumilia tatizo hili na hivyo kuamua kuvunja mahusiano au ndoa kwa madai ya kutopewa haki yake ya msingi
~KIFO ~baadhi ya wanaume hufikia hatua ya kujiua kutokana na kusumbuka sana na tatizo hili kwa muda mrefu hvyo hujiona Hana thamani
JINSI YA KUJIKINGA NA UGONJWA HUU
Jambo zuri ni kuzingatia afya yako na kujiwekea balance diet
��KULA UGALI WA DONA KILA SIKU
��KUNYWA SUPU YA PWEZA MARA KWA MARA
��FANYA MAZOEZI MARA KWA MARA
��EPUKA VYAKULA VYENYE MAFUTA
��ACHA KUJIPIGA PUNYETO
��ACHA KUTUMIA VIAGRA
��PUNGUZA KITAMBI NA MWILI
KAMA UNA TATIZO HILI KARIBU UPATE TIBA TUNA DAWA NA KIRUTUBISHO CHA KUMALIZA TATIZO HILO LA NGUVU ZA KIUME

